Friday, January 10, 2020

MAKAMU WA RAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA MAMA SAMIA SULUHU HASSAN AWEKA JIWE LA MSINGI JENGO LA HUDUMA ZA MAMA NA MTOTO KIVUNGE ZANZIBAR.



Waziri wa Afya Hamad Rashid akitoa hotuba ya Makaribisho katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la msingi Jengo la Huduma za Mama na Mtoto Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja.Ikiwa ni Shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akitoa hutuba katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Jengo la Huduma za Mama na Mtoto Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akikunjuwa kitambaa kuashiria uwekaji wa Jiwe la Msingi  Jengo la Huduma za Mama na Mtoto Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akipata maelezo  kuhusiana na Jengo la huduma za mama na Matoto kwa Dk, Dhamana wa Hospitali ya Kivunge Tamim Hamad Said wakati akitembelea na kuweka jiwe la msingi la Ujenzi Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan akikata utepe katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi  Jengo la Huduma za Mama na Mtoto Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja. Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Jengo la Huduma za Mama na Mtoto lililowekewa jiwe la Msingi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Samia Suluhu Hassan Kivunge Wilaya ya Kaskazini A Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.

No comments :

Post a Comment