Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Viwango Tanzania (TBS) Dkt. Athuman Yussuf Ngenya akiwasilisha taarifa
kuhusu majukumu ya Shirika pamoja na utekelezaji kwa Kamati ya Bunge ya
Viwanda,biashara na Mazingira.Semina hii iliandaliwa na Wizara ya
Viwanda na Biashara lengo ikiwa ni kukuza uelewa kwa kamati hii juu ya
majukumu na utekelezaji wa shughuli za taasisi mbalimbali zilizochini ya
wizara ya viwanda na biashara.
Pages
Subscribe to:
Post Comments
(
Atom
)
No comments :
Post a Comment