
Waziri wa Katiba na Sheria Khamis
Juma Mwalimu akikata utepe kuashiria Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita
3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za
miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar. alie na Mtandio Mwekundu ni Waziri wa
Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.

Waziri wa Katiba na Sheria Khamis
Juma Mwalimu katikati akifungua pazia katika hafla ya Uzinduzi wa
Barabara ya Kilomita 3.8 Donge Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja
Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56 ya Mapinduzi Zanzibar

Baadhi ya Wananchi mbalimbali
waliohudhuria katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge
Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56
ya Mapinduzi Zanzibar

Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Dk, Sira Ubwa Mamboya.akitoa hotuba ya makaribisho kwa
mgeno rasmi katika hafla ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge
Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56
ya Mapinduzi Zanzibar

Waziri wa Katiba na Sheria Khamis
Juma akitoa hotuba ya Uzinduzi wa Barabara ya Kilomita 3.8 Donge
Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56
ya Mapinduzi Zanzibar .

Barabara ya kilomita 3.8
iliozinduliwa na Waziri wa Katiba na Sheria Khamis Juma Mwalimu Donge
Muwanda Wilaya ya Kaskazini B Unguja.Ikiwa ni shamra shamra za miaka 56
ya Mapinduzi Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.
No comments :
Post a Comment