Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akionyesha
nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu alilokabidhiwa
na Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt.
Hassan Abbasi mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano
ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma. Jarida hilo ni
toleo maalum linaloelezea mafanikio ya
ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie madarakani.Kulia ni
Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw.
Abdul Njaidi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akimkabidhi
nakala ya Jarida Maalum la Nchi Yetu Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na
Michezo Mhe. Juliana Shonza mara baada ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo
ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika
ya umma na halmashauri nchini leo tarehe
02 Desemba 2019 Jijini Dodoma. Jarida
hilo ni toleo maalum linaloelezea
mafanikio ya ndani ya Miaka Minne tangu Serikali ya Awamu ya Tano iingie
madarakani.Kulia ni Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa
Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya
Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika
ya umma
na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akizungumza
alipokuwa mgeni rasmi katika hafla ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo ya
Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika
ya umma
na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi akisisitiza
jambo wakati wa hafla ya ufunguzi awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya
Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma..
Katibu
wa Chama cha Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul
Njaidi akitoa salaam za TAGCO mbele ya Naibu Waziri wa Habari,Utamaduni, Sanaa
na Michezo, Mhe. Juliana Shonza (hayupo pichani) wakati wa hafla ya ufunguzi
awamau ya pili mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara,
taasisi, mashirika ya umma na halmashauri
nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Baadhi
ya Maafisa Habari na Mawasiliano wa Serikali wakifuatilia hotuba ya Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza wakati wa
hafla ya ufunguzi rasmi wa awamu ya pili ya mafunzo ya Mawasiliano ya Kimkakati
kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba
2019 Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza akiwa katika
picha ya pamoja na baadhi ya washiriki wa mafunzo ya Maafisa Habari na
Mawasiliano Serikalini mara baada ya ufunguzi wa awamu ya pili ya mafunzo hayo
leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Kutoka kushoto ni Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji
Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi na Katibu wa Chama cha Maafisa Habari na
Mawasiliano wa Serikali (TAGCO), Bw. Abdul Njaidi.
Mkurugenzi
wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Dkt. Hassan Abbasi
akisalimiana na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.
Juliana Shonza alipowasili katika viwanja vya Hazina kwa ajili ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo
ya Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi, mashirika
ya umma na halmashauri nchini leo tarehe 02 Desemba 2019 Jijini Dodoma.
Naibu
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Mhe. Juliana Shonza
akisindikizwa Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa
Serikali, Dkt. Hassan Abbasi mara baada ya kufungua awamu ya pili ya mafunzo ya
Mawasiliano ya Kimkakati kwa Maafisa Habari kutoka wizara, taasisi,mashirika ya
umma na halmashauri nchini leo tarehe 02
Desemba 2019 Jijini Dodoma. (PICHA NA IDARA YA HABARI –MAELEZO)


No comments :
Post a Comment