
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Mkuu wa
Mkoa wa Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera
Wilaya ya Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria
Maadhimisho ya Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa
Tanzania (TANAPA) na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA)
yanayotarajiwa kufanyika kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani
Mara.

Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa TYanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana
na Waziri wa Maliasili na Utalii Dkt. Hamis Kigwangala Mkuu wa Mkoa wa
Mara Mhe. Adama Malima alipowa Uwanja wa Ndege wa Seronera Wilaya ya
Serengeti leo Disemba 22, 2019 kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya
Miaka 60 ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA)
na Mamlaka ya Hifadhi ya NGORONGORO (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika
kesho katika Hifadhi ya Ikoma Serengeti Mkoani Mara.(Picha na Ofisi ya
Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment