
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na kuzungumza
na baadhi ya Watalii wanaotembelea Mbuga za Serengeti Mkoani Mara
wakati alipokutana nao leo Disemba 22,2019. Makamu wa Rais yupo Wilayani
Serengeti Mkoani Mara kwa ajili ya kuhudhuria Maadhimisho ya Miaka 60
ya kuanzishwa kwa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) na
Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) yanayotarajiwa kufanyika kesho
katika Eneo la Fort Ikoma Serengeti Mkoani Mara.
Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments :
Post a Comment