Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Kikuu cha Dar es
salaam(UDSM), Jaji Mstaafu, Damian Lubuva , wakati alipotembelea Chuo
cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Waziri wa Mifugo na Uvivu, Luhaga Mpina, wakati
alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28,
2019. Katikati ni Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi,
Vijana, Ajira na wenye Ulemavu, Jenista Mhagama.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akielekeza jambo, wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini
Dar es Salaam Novemba 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwapa chakula samaki wanaofugwa kwa adili ya utafiti, kwenye Chuo cha
Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia nyanya zilizopandwa katika kitalu nyumba, kwenye Chuo cha
Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifafanuliwa jambo na Mwanafunzi wa Shahada ya Uzamivu, Chuo Kikuu cha
Dar es Salaam (UDSM), Aulath Mustafa, wakati akiangalia nyanya
zilizopandwa katika kitalu nyumba, kwenye Chuo cha Uvuvi Kunduchi,
jijini Dar es Salaam Novemba 28, 2019
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia samaki wanaofugwa kwa adili ya utafiti, kwenye maabara ya
Chuo cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo
hicho, Novemba 28, 2019. Kulia ni Waziri wa Mifugo na Uvivu, Luhaga
Mpina.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiangalia bwawa la samaki wanaofugwa kwa adili ya utafiti, kwenye Chuo
cha Uvuvi Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo
hicho, Novemba 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Mwanasayansi wa Maabara, katika Chuo cha Uvuvi kilichopo
Kunduchi, jijini Dar es Salaam, Dkt. Shadrack Ulomi (kushoto), wakati
alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28, 2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na wanafunzi, katika Chuo cha Uvuvi kilichopo Kunduchi,
jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba 28,
2019.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza na Walimu pamoja na Wanafunzi wa Chuo cha Uvuvi kilichopo
Kunduchi, jijini Dar es Salaam, wakati alipotembelea Chuo hicho, Novemba
28, 2019

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akifafanuliwa jambo na Mwanafunzi anayesomea Udaktari wa Falsafa
(PHD), Redempta Kajungilo, wakati alipotembelea Chuo cha Uvuvi kilichopo
Kunduchi, jijini Dar es Salaam, Novemba 28, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment