
Mwenyekiti wa
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine
Sambaiga (wa pili kulia) akizungumza katika kikao kati ya Shirika la
Plan International na Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea Mashirika yaliyopo
Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa utekelezaji wa
miradi katika Mashirika hayo.

Msajili wa Mashirika Yasiyo ya
Kiserikali Bi. Vickness Mayao (kulia) akifafanua jambo katika kikao kati
ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipokuwa inatembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.

Meneja Miradi kutoka Shirika la
Plan International Bw. Nicodemas Gachu akielezea kuhusu utekelezaji wa
Miradi inayotekelezwa na Shirika hilo katika kikao kati ya Shirika hilo
na Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali ilipotembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.

Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt.Zena Mabeyo (katikati) akieleza jambo
katika kikao kati ya Shirikala Plan Internationla na Bodi hiyo
ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia
mwenendo wa utekelzaji wa miradi katika Mashirika hayo.

Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa
Yasiyo ya Kiserikali Dkt.Alli Mcharazo (katikati) akielezea jambo katika
kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo ilipotembelea
Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia mwenendo wa
utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.

Mjumbe wa Bodi ya Uratibu wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Hassan Samli (kulia) akielezea jambo
katika kikao kati ya Shirika la Plan International na Bodi hiyo
ilipotembelea Mashirika yaliyopo Kanda ya Ziwa mkoani Mwanza kufuatilia
mwenendo wa utekelezaji wa miradi katika Mashirika hayo.

Mwenyekiti wa
Bodi ya Uratibu wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Dkt. Richard Faustine
Sambaiga (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Bodi na
Meneja wa Miradi kutoka Shirika la Plan International Bw. Nicodemas
Gachu mara baada ya kumaliza kikao kati ya Bodi na Shirika hilo
kilicholenga kufuatilia utekelezaji wa Miradi katika Shirika hilo jijini
Mwanza.
Picha zote na Kitengo cha Mawasiliano Serikalini WAMJW
No comments :
Post a Comment