MFANYAKAZI
wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ndg. Juma Mmanga akichangia
wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa ZBC mnazi mmoja




MKURUGENZI
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar(ZBC) Ndg. Chande Omar.Omar,
akizungumza wakati wa mkutano na Rais wa Zanzibar kuzungumza na
Wafanyakazi wa Shirika hilo uliofanyika katika ukumbi wa ZBC TV mnazi
mmoja.(Picha na Ikulu
No comments :
Post a Comment