Katibu Mkuu wa Baraza la
Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abdulhamid Yahya Mzee alipokuwa
akitoa ufafanuzi na majibu ya masuala mbali mbali yaliyoulizwa katika
mkutano wa Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Redio
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,uliofanyika leo katila ukumbi wa jengo la zamani la
utangazji Rahaleo Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 06/11/2019.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati)alipokuwa akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la
Utangazji la ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji
Rahaleo Mjini Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali
mbali ya kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale
Mhe.Mahmoud Thabit Kombo na (kushoto) Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la
Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar Omar ,[Picha na Ikulu]
06/11/2019.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto)akisalimiana na
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Habari la Utangazaji la ZBC Nd,Chande Omar
Omar alipowasili katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo
Mjini Zanzibar katika mkutano na Wafanyakazi wa ZBC Redio uliofanyika
leo,[Picha na Ikulu] 06/11/2019.

Mtangazji wa Habari wa Shirika la
Habari la Utangazji la ZBC Redio Khadija Ali Hassan alipokuwa akiuliza
suala wakati wa Wafanyakazi wa Shirika hilo na Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani)
uliofanyika leo katika ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo
Mjini Zanzibar, [Picha na Ikulu] 06/11/2019.
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kushoto)akizungumza Wafanyakazi wa Shirika la Habari la Utangazji la
ZBC Redio katika Ukumbi wa jengo la zamani la utangazji Rahaleo Mjini
Zanzibar leo ambapo mkutano ulizungumzia masuala mbali mbali ya
kiutendaji (kulia) Waziri wa Habari,Utalii na Mambo ya Kale Mhe.Mahmoud
Thabit Kombo,[Picha na Ikulu] 06/11/2019.

No comments :
Post a Comment