Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(kulia) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za
Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa
utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai
2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/09/2019.

Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
(katikati) akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala
za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ katika mkutano wa
utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha Julai
2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 uliofanyika leo katika
ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 04/09/2019.

Katibu Mkuu Wizara ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za
Mitaa na Idara Maalum za SMZ Radhiya Rashid Haroub alipokuwa akisoma
wa utekelezaji wa mpango kazi wa Mwaka wa Fedha kwa kipindi cha
Julai 2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara hiyo
katika mkutano uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini
Zanzibar,(kulia) Naibu Katibu Mkuu Anayeshughulikia Tawala za Mikoa na
Serikali za Mitaa na Idara Maalum za SMZ.Ndg. Khalid Abdallah
Omar. [Picha na Ikulu.] 03/09/2019.

Mkurugenzi
wa Manispaa ya Mji wa Zanzibar Said Juma Ahmada alipokuwa akitoa
ufafanuzi kuhusu Manispaa ya Mji wa Zanzibar wakati wa mkutano wa Wizara
ya Nchi Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa,Serikali za Mitaa na Idara Maalum
za SMZ uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar ,[Picha na
Ikulu.] 04/09/2019.
No comments :
Post a Comment