
***********
Na Queen Lema, Arusha
zaidi ya mawakili 2000 kutoka
maeneo mbalimbali hapa nchini wanatarajiwa kupatiwa elimu juu masuala
mbalimbali yahusuyo kazi zao na jamii kwa ajili ya kuboresha na
kuimarisha kazi
zao kwenye umma unaowazunguka
aidha mawakili hao wanatokea
maeneo mbalimbali na watapewa elimu hiyo kwa kushirikiana na wanadau
mbalimbali ambao wanawasilisha mada kwenye semina inayoendelea jijini
arusha
akizungumza na fuulshangwe mapema
leo afisa programu msaidizi kitengo cha mafunzo endelevu kwa mawakili
kutoka chama cha mawakili (TLS)bi Rose Salvatory alisema mawakili hao
watajifunza na kupatiwa mafunzo kwenye mada za muhimu ambazo ni nane
bi rose alifafanua kupitia mada
hizo ambazo zitatolewa zitaweza kuwajengea uwezo wa namna ya kuendeleza
taaluma yao lakini hata kuisaida serikali hususani kwa nyakati kama hizi
za uchumi wa viwanda
‘kwa mfani unapoangalia katika
mada hizi tuna mada juu ya makampuni ya biashara tunaaamini kuwa mtu
kama wakili akiwa na anajua sheria hii ana uwezowa kumsaidia mtu mpaka
kufikia hatua ya mwishi na baadae nchi ikapata mapato kwa hiyo ndio vitu
vya msingi ambavyo tunaviangalia”aliongeza
No comments :
Post a Comment