Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi kutoka Ofisi ya Makamu wa
Rais, Bw. Ezamo Maponde akizungumza wakati wa kufunga mradi wa miaka
nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi
katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa
Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF) katika hafla
iliyofanyika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa kitengo cha utafiti mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya
Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene
akizungumza kwa niaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa taasisi hiyo Dk. Tausi
Kida wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji
kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika
Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Mgeni rasmi Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Sekta binafsi kutoka Ofisi ya
Makamu wa Rais, Bw. Ezamo Maponde (kulia) na Mkuu wa kitengo cha utafiti
mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya Tafiti za Kiuchumi na Kijamii
(ESRF), Profesa Fortunata Makene wakiwa meza kuu wakati wa hafla ya
kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na
masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi
uliokuwa ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mtafiti mwandamizi wa ESRF Dk. Hoseana Bohela Lunogelo akizungumzia
nafasi ya wadau katika mchakato wa PSDS wakati wa hafla ya kufunga mradi
wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya
tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF
mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mwakilishi wa Tanzania kwenye Shirika la Biashara Duniani (WTO) jijini
Geneva , Uswis Bi. Neema Manongi akizungumzia kinachotarajiwa kutoka WTO
za utengenezaji wa mnyororo wa thamani kwa bidhaa za mashambani wakati
wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Dk Ladislaus Chang’a, kutoka Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA)
akiendesha majadiliano kuhusu namna ambavyo mazungumzo ya kimataifa
kuhusu biashara na mabadiliko ya hali ya hewa yalivyochagiza uumbaji wa
sera zinazotumiwa na serikali kuwezesha uchakataji wa bidhaa za kilimo
pamoja na mabadiliko ya tabia nchi wakati wa hafla ya kufunga mradi wa
miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia
nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu
pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Ofisa wa programu CUTS International, Nairobi Bw. Collins Owegi
akizungumzia nini kilichofanyika na kufanikiwa katika PACTEAC2 wakati wa
hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC
2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya
mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Mratibu wa kitaifa wa TCSAA ambaye pia ni mshiriki majadiliano ya UNFCCC
Bi. Shakwaanande Natai akizungumza kuhusu mabadiliko ya tabia nchi na
uhuishaji wake kwenye kilimo chini ya makubaliano ya Koronivia wakati wa
hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara
pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC
2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya
mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika
ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Dk. Donatilla Kaino wa ESRF akiendesha majadiliano ya mada kuhusu mradi
PACTEAC 2 ambapo yaliangalia uwezeshaji uliofanyika na kipi kitaendelea
wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo,
biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki
(PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili
matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika
katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa kitengo cha utafiti mkakati na machapisho kutoka Taasisi ya
Tafiti za Kiuchumi na Kijamii (ESRF), Profesa Fortunata Makene
akifafanua jambo wakati wa hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa
uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika
nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF
ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa
kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.
Baadh ya wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na
wafanyabiashara wakishiriki kutoa maoni wakati wa hafla ya kufunga mradi
wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya
tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa
ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu
pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa
ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
Baadhi ya wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na
wafanyabiashara walioshiriki hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa
uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika
nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF
ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa
kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki
jijini Dar es Salaam.
Picha ya pamoja ya mgeni rasmi na wadau mbalimbali wakiwemo watafiti wa masuala ya kiuchumi, wakulima na wafanyabiashara walioshiriki hafla ya kufunga mradi wa miaka nane wa uhamasishaji kilimo, biashara pamoja na masuala ya tabia nchi katika nchi za Afrika Mashariki (PACTEAC 2), mradi uliokuwa ukiratibiwa na ESRF ambapo pia walijadili matokeo ya mradi huo awamu pili tangu kuzinduliwa kwake, iliyofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ESRF mwishoni mwa wiki jijini Dar es Salaam.
No comments :
Post a Comment