Waziri
wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Issa
Haji Gavu, akiwasilisha ripoti ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi
kwa Julai 2018 hadi Juni 2019, kulia Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg.Salum Kassim Ali.(Picha na Ikulu)
Baadhi
ya Watendaji wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi,
wakifuatilia taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi wa Ofisi
yao kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, uliofanyika ukumbi wa Ikulu
Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Ndg Salum Kassim Ali, akiwasilisha Taarifa ya Utekelezaji wa Bajeti na Mpango Kazi kwa mwezi Julai 2018 hadi Juni 2019, wa Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, , wakati wa mkutano huo uliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Zanzibar, ukiongozwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, hayuko pichani.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment