Wednesday, September 4, 2019

KAMPENI NYUMBA NI CHOO YAZINDULIWA SHINYANGA


Kampeni ya kuhamasisha wananchi wa mkoa wa Shinyanga kuwa na vyoo kwenye nyumba zao "Nyumba ni Choo", imezinduliwa na mkuu wa mkoa wa Shinyanga Mhe.Zainab Telack, na kuwaonya wanasiasa ambao watawakingia kifua wananchi ambao watachukuliwa hatua kwa sababu ya kutokuwa na vyoo kwenye kaya zao kwa madai ni wapiga kura wao, kuwa atakaye fanya hivyo atashughulikiwa.

No comments :

Post a Comment