Washiriki
wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi
wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa
akifungua mafunzo hayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya
Jamhuri ya Watu wa China,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris
Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
Balozi
Mdogo wa Jamhuri ya Watu wa China aliyepo Zanzibar Mhe.XIE XIAOWU
(kulia) akicheza ngoma ya Msewe iliyopigwa na kikundi cha Sanaa cha
Taifa katika Ukumbi wa
Idris Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar wakati wa ufunguzi wa mafunzo
Mapishi na Ukarimu yaliyofunguliwa leo na kuendeshwa na Wakufunzi
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China, [Picha na Ikulu.]
11/09/2019.
Washiriki
wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu kutoka Taasisi za Serikali na Binafsi
wakimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) (hayupo pichani) alipokuwa
akifungua mafunzo hayo yatayoendeshwa na Wakufunzi kutoka Serikali ya
Jamhuri ya Watu wa China,hafla iliyofanyika leo katika ukumbi wa Idris
Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
Makamo
Meneja Mkuu wa Taasisi ya China NATIONAL RESEARCH INSITITUTE OF FOOD
AND FERMENTATION INDUSTIES COPORATION LTD Bw.Dong Wei Hong akitoa
taarifa ya mafunzo kwa mgeni rasmi Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi (Gavu) leo katika
Ufunguzi wa Mafunzo ya Upishi na Ukarimu yatayoendeshwa na Wakufunzi
kutoka Serikali ya Jamhuri ya Watu wa China katika ukumbi wa Idris
Abduwakil Kikwajuni Mjini Zanzibar,[Picha na Ikulu.] 11/09/2019.
No comments :
Post a Comment