Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akiteta jambo na
Katibu Mkuu
Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean
Ndumbaro mara baada ya kufunga kikao hicho.
Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko akizungumza
jambo wakati wa ufunguzi wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa
Wanawake na Watoto kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Magadu JWTZ
mkoani Morogoro, kushoto ni Katibu mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,
Wazee na Watoto Dkt. John Jingu.
Sehemu ya wajumbe
wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto wakifuatilia
hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (hayupo pichani).
Naibu Katibu Mkuu
Wizara ya Katiba na Sheria Bw. Amon Mpanju akichangia hoja kuhusu sheria mbalimbali
zinazowalinda watoto dhidi ya ukatili wakati wa kikao hicho
Sehemu ya wajumbe
wa sekretariati wakifuatilia hoja na michango ya wajumbe wakati wa kikao hicho.
Sehemu ya wajumbe
wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto wakifuatilia
hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (hayupo pichani).
Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko pamoja na Katibu
Mkuu Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. John Jingu
wakipitia muhtasari wa kikao kilichopita wakati kikao cha Kamati Elekezi ya
Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto kilichofanyika mkoani Morogoro.
Sehemu ya wajumbe
wa kikao cha Kamati Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto wakifuatilia
hoja za mwenyekiti wa kikao hicho ambaye ni Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera,
Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (hayupo pichani)
Mkurugenzi wa Idara ya Sera na Mipango kutoka
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Bw. Atupele
Mwambene akiwasilisha taarifa ya Mpango Kazi wa Taifa wa Kutokomeza ukatili
dhidi ya Wanawake na Watoto wakati wa kikao hicho.
Muwakilishi kutoka
Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) Bi. Zainabu akieleza namna wanavyotatua
masuala ya ukatili dhidi ya wanawake na watoto kupitia teknolojia ya mitandao
wakati wa kikao hicho
Katibu Mkuu Ofisi
ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Uwekezaji) Bi.Dorothy Mwaluko (wa tatu kutoka
kushoto) pamoja na Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi
wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati), Katibu Mkuu Wizara ya
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Dkt. John Jingu (wa pili
kutoka kushoto), na Naibu Katibu Mkuu Wizara ya Katiba na Sheria Bw.Amon Mpanju
(wa tatu kutoka kulia) wakiwa katika picha ya pamoja na wajumbe wa Kamati
Elekezi ya Taifa ya Ulinzi wa Wanawake na Watoto mara baada ya kumaliza kikao
hicho.
No comments :
Post a Comment