Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa
Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati alipowasili
kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26, 2019, ambako
anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na kufanya ziara ya
kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania nchini Japan, John
Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na
Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Profesa Palamagamba Kabudi wakati
alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini Japan Agosti 26,
2019, ambako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa TICAD 7 na
kufanya ziara ya kikazi nchini humo. Kulia ni Kaimu Balozi wa Tanzania
nchini Japan, John Kambona.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na baadhi ya maofisa wa serikali ya
Tanzania wakati alipowasili kwenye hoteli ya Yokohama Bay nchini
Japan Agosti 26, 2019, amabako anatarajiwa kushiriki kwenye mkutano wa
TICAD 7 na kufanya ziara ya kikazi nchini humo. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment