
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akizungumza na
Uongozi wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto katika
mkutano wa utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai
2018-Juni 2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 katika ukumbi wa Ikulu
Mjini Zanzibar leo,[Picha na Ikulu.] 23/08/2019.

Mshauri wa Rais Pemba Mhe.Bi
Mauwa Abeid Daftari (kushoto) akichangia wakati wa mkutano wa
utekelezaji wa malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni
2019 na mpango kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya
Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na Watoto uliofanyika leo katika ukumbi wa
Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani)
Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman(kulia)
[Picha na Ikulu.] 23/08/2019.

Katibu Mkuu Kiongozi Dkt.Abduhamid
Yahya Mzee (katikati) akichangia wakati wa mkutano wa utekelezaji wa
malengo ya mpango kazi kwa kipindi cha Julai 2018-Juni 2019 na mpango
kazi wa mwaka 2019-2020 wa Wizara ya Kazi,Uwesheji,Wazee,Wanawake na
Watoto uliofanyika leo katika ukumbi wa Ikulu Mjini Zanzibar,chini ya
Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein (kulia)akiwepo na Naibu wa Waziri wa Wizara hiyo
Mhe,Shadiya Mohammed Suleiman, [Picha na Ikulu.] 23/08/2019.
No comments :
Post a Comment