Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Janeth Magufuli pamoja na
Waumini wengine wa Kanisa Katoliki wakishiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya
Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
jijini Dar es Salaam. Ibada iliyoongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule,
Agosti 04,2019.

Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth Magufuli wakitoa Sadaka zao
waliposhiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na
kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli na mkewe Janeth
Magufuli wakipeana mkono wa Amani na Waumini wengine wa Kanisa Katoliki
walioshiriki Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika
kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam na
kuongozwa na Paroko Msaidizi Padre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Inspekta Jenerali Simon Sirro nje ya kanisa
Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika
katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam
iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na
baadhi ya Waumini nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika
ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay jijini Dar es Salaam na kuongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule,
Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini
Inspekta Jenerali Saimon Sirro na mtoto fulana maalumu za sherehe ya
kuadhimisha miaka 75 ya kuzaliwa kwa Mhadhama Polcapy Kadinali Pengo, nje ya
kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu Dominika ya 18 ya Mwaka “C”
iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay jijini Dar
es Salaam iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre Paul Haule, Agosti 04,2019.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimnunulia Muumini
mtoto Rozali takatifu nje ya kanisa Katoliki mara baada ya Misa Takatifu
Dominika ya 18 ya Mwaka “C” iliyofanyika katika kanisa la Mtakatifu Petro
Parokia ya Oysterbay jijini Dar es Salaam iliyoongozwa na Paroko MsaidiziPadre
Paul Haule, Agosti 04,2019.

No comments :
Post a Comment