Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,
akitoa hotuba ya ufunguzi wa maonesho ya Nanenane kwenye viwanja vya
Nakabindi nje kidogo ya mji wa Bariadi Mkoani Simiyu Agosti 1, 2019.
Maonesho hayo ya mwaka huu wa 2019 yamebeba kaulimbiu isemayo "Kilimo,
Ufugaji na Uvuvi kwa ukuaji wa uchumi wa nchi." yatafikia kilele Agosti
8, 2019.

Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, akitoa hotuba yake. |
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka, akitoa hotuba yake |
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akikagua Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu. (Picha Zote Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo)
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akiwa na watumishi wa Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
Waziri wa Kilimo Mhe Japhet Hasunga (Mb) akipewa maelezo kuhusu matumizi ya mifuko ya kuhifadhia mahindi ya PIC'S wakati alipotembelea Banda la Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) wakati akikagua maandalizi ya Maadhimisho ya 27 ya sikukuu ya wakulima maarufu kama (Nane Nane) yatakayofanyika kuanzia tarehe 1-8 Agosti 2019 Katika viwanja vya Nyakabindi mkoani Simiyu.
No comments :
Post a Comment