Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akizungumza wakati alipochangia mada kuhusu kuimarisha amani na utulivu
Barani Afrika katikati mkutano wa saba wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu
Maendeleo katika Bara la Afrika (TICAD 7) uliohitimishwa leo kwenye Ukumbi wa hoteli ya Pacifiko Yokohama nchini Japan. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment