Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,
Trinh Dinh Dung (kulia) katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika kwenye
ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam, Julai
12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung
wakitoka ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam baada ya
mazungumzo yao, Julai 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi zawadi ya picha ya Mlima
Kilimanjaro, Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam, Trinh Dinh Dung, baada ya
mazungumzo yao, ofisini kwa Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam,
Julai 12, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,
Trinh Dinh Dung (wa pili kulia) katika mazungumzo rasmi yaliyofanyika
kwenye ukumbi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Magogoni jijini Dar es salaam,
Julai 12, 2019.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri
Mkuu Kassim Majaliwa na Naibu Waziri Mkuu wa Vietnam,Trinh Dinh Dung
wakigonganisha glass katika chakula cha mchana alichoandaa Waziri Mkuu
wa Tanzania kwa heshima ya mgeni huyo kwenye hoteli ya Hyatt Regency-
Kilimanjaro jijini Dar es salaam, Julai 12, 2019. (Picha na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment