Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF Bi Lulu Mengele
akitoa elimu kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na NSSF katika banda
la NSSF na PSSSF katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea
katika
Afisa Uhusiano wa NSSF Bi Aisha Sango akitoa ufafanuzi kwa mgeni
alietembelea banda la NSSF na PSSSF katika maonesho yanayoendelea ya
kimataifa ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya
Kilwa. 

Meneja Kiongozi wa Uhusiano na Elimu kwa Umma wa NSSF Bi Lulu Mengele
akitoa elimu kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na NSSF katika banda
la NSSF na PSSSF katika maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea
katika
Afisa matekelezo wa NSSF Ndugu Abdulaziz Abeid akitoa ufafanuzi kwa
mgeni alietembelea banda la NSSF na PSSSF katika maonesho yanayoendelea
ya kimataifa ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara
ya Kilwa.

Maafisa Uhusiano wa NSSF (Aisha Sango, Kushoto na Amani Marcel,
Katikati) na wa PSSSF (Coleta Mnyamani) wakitoa elimu kwa wageni
mbalimbali kuhusu huduma mbalimbali zitolewazo na Mifuko hiyo katika
maonesho ya kimataifa ya Sabasaba yanayoendelea katika viwanja vya
Mwalimu Nyerere barabara ya Kilwa. 

Afisa Uhusiano wa PSSSF ndugu Abdul Njaidi akitoa ufafanuzi kwa mgeni
aliyetembelea banda la NSSF na PSSSF katika maonesho yanayoendelea ya
kimataifa ya Sabasaba katika viwanja vya Mwalimu Nyerere barabara ya
Kilwa.

No comments :
Post a Comment