Mkurugenzi
Mkuu wa Shirika la Utangazaji Tanzania (TBC) Dkt Ayub Rioba akiwasilisha mada
wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi wa habari wanaojengewa uwezo
ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi wanachama wa SADC, Mafunzo
hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11, 2019 ambapo yatafanyika kwa
siku tatu.
Mkurugenzi
Msaidizi wa Idara ya Habari- MAELEZO Bi Zamaradi Kawawa akieleza umuhimu wa
waandishi wa habari kufuatilia na kutangaza manufaa ya mkutano wa wakuu wa nchi na Serikali za nchi wanachama wa SADC
leo Julai 11, 2019 mjini Morogoro.
Katibu Mkuu mstaafu Balozi Hebert Mrango akiwasilisha mada kuhusu historia ya
SADC, masuala ya siasa, uchumi na
kijami wakati wa mafunzo kwa kundi la pili la waandishi
wa habari wanaojengewa uwezo ili waweze wa kuandika na kuripoti habari za nchi
wanachama wa SADC, Mafunzo hayo yanafanyika mjini Morogoro kuanzia Julai 11,
2019 ambapo yanafanyika kwa siku tatu.
No comments :
Post a Comment