Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto) akisalimiana
na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania
(KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma alipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (Kushoto)
akizungumza na Mwenyekiti wa Bodi kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom
leadership Network Tanzania (KLNT), Mhe. Ibrahim Kaduma alipomtembelea leo
nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai akizungumza
na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania
(KLNT), walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi hiyo Mhe. Ibrahim Kaduma,
walipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (kushoto) akizungumza
na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom leadership Network Tanzania
(KLNT), walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi hiyo Mhe. Ibrahim Kaduma,
walipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wa tatu kulia) akiwa
katika sala ya pamoja na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom
leadership Network Tanzania (KLNT), walipomtembelea leo nyumbani kwake Kisasa
Jijini Dodoma.
Spika wa Bunge, Mhe. Job Ndugai (wanne kulia)
akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wakuu kutoka Taasisi ya Kidini ya Kingdom
leadership Network Tanzania (KLNT), walioongozwa na Mwenyekiti wa Bodi wa Taasisi
hiyo Mhe. Ibrahim Kaduma (wa tatu kulia), walipomtembelea leo nyumbani kwake
Kisasa Jijini Dodoma. (PICHA
NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment