Mwenyekiti
wa Kamati ya Bajeti Mhe. Andrew Chenge akichania jambo katika semina ya
mapitio ya Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/2019 iliyofanyika
kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma hii leo Mei 24, 2019.
Wajumbe
wa Kamati ya Bajeti wakifuatila jambo katika semina ya mapitio ya
Bajeti kuu ya Serikali ya mwaka 2018/2019 iliyotolewa na Ndg. Cliff Muga
kwenye Ukumbi wa Msekwa Bungeni Jijini Dodoma. (Picha na Ofisi ya Bunge)
No comments :
Post a Comment