Kusini kusaini makaubaliano kuhusu suala hilo.
Rais Magufuli alikutana na Ramaphosa Ikulu ya Pretoria Jumapili, Mei 27 2019, ikiwa ni siku moja tu toka Ramaphosa alipoapishwa kuendelea kuliongoza taifa la Afrika Kusini.
Katika mkutano huo faragha, Magufuli alimpatia zawadi ya vitabu vya Kiswahili mwenyeji wake pamoja na kamusi.
katika shule za nchi hiyo Septemba 2018 kuanzia mwaka 2020 na kufungua fursa kwa walimu kutoka ukanda wa Afrika Mashariki amapo lugha hiyo ndipo inapochimbukia na kuzungumzwa.
Taarifa rasmi ya Mkurugenzi wa Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais Bw Gerson Msigwa inasema kuwa: “Rais Ramaphosa amesema kufuatia uamuzi wa Afirka Kusini kuanza kufundisha lugha ya Kiswahili, nchi yake itachukua walimu wa Kiswahili kutoka Tanzania ili watumike kufundisha somo hilo katika shule za msingi
Kiswahili ndiyo itakuwa lugha ya kwanza ya Kiafrika inayotoka nje ya Afrika Kusini, kufunzwa katika shule za umma na binafsi za nchi hiyo.
No comments :
Post a Comment