Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa mfano wa nyamera na Waziri
wa Maliasili na Utalii, Khamis Kigwangala, kwenye ofisi ya Wizara hiyo, wakati
akikagua ofisi za Wizara katika mji wa Serikali eneo la Mtumba, jijini
Dodoma, Aprili 23, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akiongea na Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais (TAMISEMI), Suleiman Jaffo, kwenye ofisi ya Wizara hiyo ya muda, wakati
akikagua ofisi za Wizara kwenye mji wa Serikali eneo la Mtumba, jijini
Dodoma, Aprili 23, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akioneshwa jambo na Waziri wa Nchi
Ofisi ya Rais (TAMISEMI), Suleiman Jaffo, wakati akikagua ofisi za Wizara kwenye
mji wa Serikali eneo la Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 23, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akitoka kwenye jengo la Ofisi ya Waziri
Mkuu, Sera, Uratibu na Bunge, wakati akikagua ofisi za Wizara kwenye mji wa
Serikali eneo la Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 23, 2019.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, akisalimiana na Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Hussein Mwinyi, na Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Mhe. Jenista Mhagama wakati akikagua ofisi za Wizara kwenye mji wa Serikali eneo la Mtumba, jijini Dodoma, Aprili 23, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).
No comments :
Post a Comment