Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa Zanzibar (SUZA) Mhe. Dk.Ali Mohamed Shein, akiwatunuku Shahada ya Uzamuli
ya Sanaa ya Kiswahili, wakati wa hafla ya Mahafali ya 14 ya SUZA yaliofanyika
katika ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
Wahitimu
wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar (SUZA) wakifuatilia hutuba
ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu
cha Taifa Zanzibar SUZA Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika ukumbi wa
mikutano wa Dk. Ali Mohamed Shein.Tunguu Zanzibar(Picha na Ikulu)
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi na Mkuu wa Chuo Kikuu cha
Taifa Zanzibar (SUZA)Mhe.Dk Ali Mohamed Shein, akimkabidhi zawadi Mwanafunzi
Bora wa Shahada ya Utabibu (Udaktari) Safia Annas Masoud, wakati wa hafla hiyo
ya Mahafali ya 14 ya SUZA yaliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein
Tunguu Zanzibar(Picha na Ikulu)
Wahitimu wa Mahafali ya 14 ya Chuo Kikuu cha Taifa Zanzibar SUZA wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa hafla hiyo iliofanyika katika Ukumbi wa Dk. Ali Mohamed Shein Tunguu Zanzibar.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment