Mkurugenzi
Mtendaji wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) Prof. Mohamed Janabi
akizungumza na meneja wa programu ya ufuatiliaji kutoka shirika la
(International Quality Improvement Collaborative for Congenital Heart
Surgery (IQIC) la nchini Marekani Jonathan haBrecque (wapili kushoto)
alipotembelea taasisi hiyo kuangalia namna ambavyo imeweza kupunguza
vifo vitokanavyo na upasuaji wa moyo kwa watoto wenye magonjwa ya moyo
ya kuzaliwa nayo leo Jijini Dar es Salaam
Daktari
bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Godwin Sharau akipitia mafaili ya watoto waliofanyiwa upasuaji
wa moyo wakati meneja wa programu ya ufuatiliaji kutoka shirika la
(International Quality Improvement Collaborative for Congenital Heart
Surgery (IQIC) la nchini Marekani Jonathan haBrecque (wapili kulia)
alipotembelea taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam kuangalia namna
ambavyo taasisi hiyo imeweza kupunguza vifo vitokanavyo na upasuaji wa
watoto wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo
Daktari
bingwa wa upasuaji wa moyo kwa watoto wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete
(JKCI) Godwin Sharau akimuonyesha moja ya taarifa za mtoto aliofanyiwa
upasuaji wa moyo wakati meneja wa programu ya ufuatiliaji kutoka shirika
la (International Quality Improvement Collaborative for Congenital
Heart Surgery (IQIC) la nchini Marekani Jonathan haBrecque (wapili
kulia) alipotembelea taasisi hiyo leo Jijini Dar es Salaam kuangalia
namna ambavyo taasisi hiyo imeweza kupunguza vifo vitokanavyo na
upasuaji wa watoto wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo
Mkuu
wa kitengo cha ubora wa huduma za afya ya moyo ambaye pia ni daktari
bingwa wa magonjwa ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI)
Tulizo Shemu (katikati) katika picha ya pamoja na meneja wa programu ya
ufuatiliaji kutoka shirika la (International Quality Improvement
Collaborative for Congenital Heart Surgery (IQIC) la nchini Marekani
Jonathan haBrecque (wapili kushoto) baada ya kukamilisha ufuatiliaji wa
namna ambavyo taasisi hiyo imeweza kupunguza vifo vitokanavyo na
upasuaji wa watoto wenye magonjwa ya moyo ya kuzaliwa nayo leo Jijini
Dar es Salaam. Kushoto ni Daktari bingwa wa magonjwa ya moyo kwa watoto
wa JKCI Naiz Majani na kulia ni daktari bingwa wa upasuaji wa moyo kwa
watoto wa JKCI Godwin Sharau
Picha na: Genofeva Matemu – JKCI
No comments :
Post a Comment