Monday, April 1, 2019

SHIKA NDINGA CHINI YA UDHAMINI WA NBC YAZIDI KUPASUA ANGA


????????????????????????????????????
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Neema Mwakasendo (kulia) akimkabidhi  kadi ya ATM aina ya Visa kwa Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Deogratius Lyimo  baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.NBC inadhamini kampeni hiyo iliyoandaliwa na Kituo cha Redio cha EFM kwa malengo ya kusogeza huduma za kibenki karibu na wateja wao ambapo wateja wanafungua akaunti ya Fasta na kupata kadi ya ATM ya Visa hapo hapo.
????????????????????????????????????
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Deogratius Lyimo   akionyesha kadi ya ATM aina ya Visa ya Benki ya NBC aliyopewa mara baada ya kufungua akaunti ya Fasta ya benki hiyo wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
????????????????????????????????????
Ofisa Mauzo wa Benki ya NBC, Jyste Mahotola (kushoto) akimkabidhi  kadi ya ATM aina ya Visa kwa mkazi wa Kibaha Maili Moja, Asha Mussa baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
????????????????????????????????????
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Asha Mussa   akionyesha kadi ya ATM aina ya Visa ya Benki ya NBC aliyopewa mara baada ya kufungua akaunti ya Fasta ya benki hiyo wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
????????????????????????????????????
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Ally Abdallah (kushoto ) akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.Kulia ni Ofisa Mauzo wa NBC, Evansia Benson.
????????????????????????????????????
Mkuu Msaidizi wa Kitengo cha Biashara cha Benki ya NBC, Japhet Fungo (kushoto) akimkabidhi  kadi ya ATM aina ya Visa kwa Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Emmanuel Baraka baada ya kufungua akaunti ya Fasta wakati wa kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
????????????????????????????????????
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha, Steven Fransis (kulia), akizungumza na wakazi wa Mkoa wa Pwani waliojitokeza katika kampeni ya Shika Ndinga kwenye Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani, mkoani humo jana.
????????????????????????????????????
Mkazi wa Kibaha Maili Moja, Godrey Ntani (kulia ) akiweka alama ya gumba ili kufungua akaunti ya Fasta ya Benki ya NBC, katika kampeni ya Shika Ndinga iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.Kulia ni  Ofisa Mikopo wa NBC,  Clara Jackson.
????????????????????????????????????
Meneja wa Benki ya NBC Tawi la Kibaha, Steven Fransis (kulia), akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika Ndinga kwa upande wa wanawake, Josepha Maemba wakati wa kampeni hiyo  katika  Uwanja wa Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani Mkoa wa Pwani jana.
????????????????????????????????????
Meneja Masoko wa Benki ya NBC, Alina Maria Kimaryo (kushoto) akimkabidhi pikipiki mmoja wa washindi wa kampeni ya Shika Ndinga inayodhaminiwa na NBC kwa upande wa wanaume, Ally Rashidi wakati wa kampeni hiyo  iliyofanyika katika Uwanja wa Kibaha Stendi ya zamani, mkoani wa Pwani jana

No comments :

Post a Comment