Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth
Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa
Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa Mitambo itakayotumika
katika ujenzi wa barabara ya Chunya hadi Makongolosi km 39
itakayojengwa kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya
mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza Mkuu wa Mkoa wa
Mbeya Albert Chhalamila mara baada ya kufungua barabara ya kutoka
Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na viongozi
wengine akivuta utepe kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi mradi wa
ujenzi wa barabara itakayojengwa kwa kiwango cha lami kutoka Chunya hadi
Makongolosi km 39.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na mkewe Mama Janeth
Magufuli, pamoja na viongozi mbalimbali Wabunge, Mawaziri, Viongozi wa
Mkoa wa Mbeya, akikata utepe kuashiria ufunguzi wa Barabara ya
Mbeya-Lwanjilo-Chunya yenye jumla ya kilometa 72 iliyokamika kujengwa
kwa kiwango cha lami katika sherehe zilizofanyika Chunya mkoani Mbeya.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na wananchi wa
Charangwa Chunya mkoani Mbeya wakati akielekea kufungua barabara ya
Mbeya-Chunya-Lwanjilo km 72.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwasili katika uwanja wa
Sabasaba Wilayani Chunya kwa ajili ya kuzungumza na wananchi katika
mkutano wa Hadhara.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwapungia mkono
kuwasalimia wananchi waliokusanyika katika uwanja wa Sabasaba Chunya
kabla ya kuwahutubia.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Mhandisi
Profesa Ninatubu Lema kutoka Wizara ya Ujenzi wakati alipowasili katika
uwanja wa Sabasaba Chunya mkoani Mbeya. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment