Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Kazi, Vijana na Ajira) Mhe. Anthony Mavunde akiongea na wajumbe wa
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na Sheria wakati wa Semina kuhusu
dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo
Bungeni Mjini Dodoma.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka
ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA) Onorius
Njole Akiongea na wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Katiba na
Sheria katika kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na Umuhimu wake kwa
Jamii, ambapo alisema alisema moja ya mafanikio ya mamlaka hiyo
imewezesha kuhuisha uwekezaji wa Mifuko ya Hifadhi ya Jamii kwa kutoa
Miongozo ya Uwekezaji katika semina iliyofanyika leo Bungeni Mjini
Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Katiba na Sheria Mhe. Mohamed Mchengerwa (Mb) akiongea wakati
wa Semina kwa wajumbe wa kamati hiyo kuhusu dhana ya Hifadhi ya Jamii na
Umuhimu wake kwa Jamii iliyoyolewa na Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti
wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA)
Wajumbe wa Kamati ya Kudumu ya
Bunge ya Katiba na Sheria wakifuatilia Semina kuhusu dhana ya Hifadhi ya
Jamii na Umuhimu wake kwa Jamii iliyofanyika leo Bungeni Mjini Dodoma.
No comments :
Post a Comment