Spika wa Bunge, Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe.
Job Ndugai akisaini kitabu cha wageni alipotembelea Ofisi ya CCM Mkoa wa
Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskaizni na Kusini Unguja Mhe.
Job Ndugai akiweka jiwe la msingi Tawi la Ubago Wilaya ya Kati Mkoa wa
Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe.
Job Ndugai (katikati) akimsikiliza Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji
Zanzibar (ZAWA), Ndg. Ali Abdu Ali (kushoto) wakati wa utandazaji wa
mabomba ya maji safi na salama, kutoka kisima cha Bambi kuelekea Kijiji
cha Uroa Jimbo la Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo tarehe 28 Machi, 2019
Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mjumbe wa
Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe.
Job Ndugai akiongoza Waheshimiwa Wabunge kufukia bomba la maji wakati wa
utandazaji wa mabomba ya maji safi na salama, kutoka kisima cha Bambi
kuelekea Kijiji cha Uroa Jimbo la Chwaka Mkoa wa Kusini Unguja leo
tarehe 28 Machi, 2019 Mjini Zanzibar.
Spika wa Bunge, Mjumbe wa Kamati
Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na Kusini Unguja Mhe. Job
Ndugai akizungumza na Wajumbe wa Kamati za Siasa za Halmashauri Kuu za
CCM, pamoja na Kamati za utekelezaji Jumuiya za CCM ngazi ya Mkoa na
Wilaya katika kikao kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2019 Mkoa wa
Kusini Unguja Mjini Zanzibar.
Wajumbe wa Kamati za Siasa za
Halmashauri Kuu za CCM Mkoa wa Kusini Unguja, pamoja na Kamati za
utekelezaji Jumuiya za CCM ngazi ya Mkoa na Wilaya wakimsikiliza Spika
wa Bunge, Mjumbe wa Kamati Kuu CCM na Mlezi wa CCM Mkoa wa Kaskazini na
Kusini Unguja Mhe. Job Ndugai (hayupo kwenye picha) katika kikao
kilichofanyika leo tarehe 28 Machi, 2019 Mkoa wa Kusini Unguja Mjini
Zanzibar.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)
No comments :
Post a Comment