Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akisalimiana na Naibu
Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin
Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya
Kinyago Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh
Mohammed bin Abdulrahman al Than kabla ya kuanza mazungumzo yao Ikulu
jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimkabidhi zawadi ya picha
ya Mlima Kilimanjaro mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya
Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya
kuwasili Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika mazungumzo na
mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh
Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya kuwasili Ikulu jijini Dar
es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwa katika picha ya
pamoja na mgeni wake Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa
Qatar Sheikh Mohammed bin Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo
yao Ikulu jijini Dar es Salaam. Wengine katika picha ni Waziri wa Mambo
ya Nje Profesa Palamagamba Kabudi wanne kutoka kulia, Balozi wa Tanzania
kutoka Qatar Fatma Rajab watatu kutoka kushoto pamoja na Balozi Zuhura
Bundala wakwanza kushoto.

Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiagana na mgeni wake
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Sheikh Mohammed bin
Abdulrahman al Than mara baada ya mazungumzo yao Ikulu jijini Dar es
Salaam. PICHA NA IKULU
No comments :
Post a Comment