Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akisalimia na Bi.
Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), mwingine pichani ni Mwakilishi
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez ofisini kwa Makamu wa
Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akizungumza na Bi.
Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa Mataifa
linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), pamoja na Mwakilishi Mkazi wa
Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez (katikati) ofisini kwa Makamu wa
Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati) akiwa kwenye
picha ya pamoja na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja
wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women),pamoja na Mwakilishi
Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez (kushoto) ofisini kwa
Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akitwa kwenye
picha ya pamoja na Bi. Hodan Addou, Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja
wa Mataifa linaloshughulikia Wanawake (UN-Women), mara baada ya
kumaliza mazungumzo leo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu jijini Dar es
Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa kwenye picha
ya pamoja na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro Rodriguez
mara baada ya kumaliza mazungumzo ofisini kwa Makamu wa Rais, Ikulu
jijini Dar es Salaam. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
………………………………………………………………………………..
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan leo amekutana na kufanya
mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Umoja wa
Mataifa linaloshughulikia Masuala ya Wanawake (UN-Women) Bi. Hodan
Addou aliyeambatana na Mwakilishi Mkazi wa Umoja wa Mataifa Bw. Alvaro
Rodriguez, Ikulu jijini Dar es Salaam.
Pamoja na mambo mengine
Mwakilishi huyo wa UN-Women alizungumzia kazi mbalimbali zinazofanywa na
Shirika hilo hapa nchini hususani katika kushirikiana na Serikali
katika miradi mbalimbali ikiwemo Mkakati wa Kukuza Uchumi na kupumguza
Umasikini Tanzania(MKUKUTA) na Mkakati wa Kukuza Uchumi na Kupunguza
Umasikini Zanzibar (MKUZA).
No comments :
Post a Comment