Picha ya Jengo la Upasuaji
lililojengwa kwa fedha za mapato ya ndani ya halmashauri na michango
ambalo limefunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan alipokuwa kwenye ziara ya kukagua na
kuhamasisha shughuli za kimaendeleo wilayani Kaliua, Tabora. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wananchi katika
uwanja wa Kolimba wilayani Kaliua, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Picha iliyopigwa kutoka juu
ikionyesha wananchi walivyojitokeza kwa wingi kwenye mkutano ambao
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan alikuwa mgeni rasmi. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikata utepe kuashiria
kukabidhiwa kwa zaidi ya pikipiki 15 kwa vijana wa boda boda ikiwa ni
mkopo kutoka Halmashauri ya Kaliua, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa
Rais)
Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
akikabidhi hundi ya zaidi ya shilingi milioni 250 kwa vikundi 61 vya
ujasiriamali ukiwa ni mkopo kutoka Halmashauri ya Kaliua, Tabora. (Picha
na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Sehemu ya wakazi wa Usoke Mlimani
walioihudhuria mkutano wa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, Urambo mkoani Tabora. (Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisomewa taarifa ya mradi
wa ujenzi wa jengo la upasuaji katika kituo cha afya Kaliua na
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kaliua Dkt. John M. Pima .(Picha na Ofisi
ya Makamu wa Rais)
No comments :
Post a Comment