MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwahutubia Viongozi wa CCM Wilaya ya Chakechake Pemba
wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake Wilaya ya Chake leo
uliofanyika katika ukumbi wa mikutano wa Makonyo wawi.
BAADHI ya Viongozi wa CCM Wilaya
ya Chakechake Pemba wakimsikiliza Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwahutubia katika ukumbi wa Makonyo Wawi Pemba leo,
wakati wa mkutano wake wa majumuisho ya ziara yake.
MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali
Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa Serikali na CCM wakiwa katika ukumbi
wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake Pemba wakati wa mkutano wa
majumuisho ya ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba leo
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar
Dr. Abdallah Juma Mabodi akizungumza wakati wa mkutano wa Viongozi wa
CCM Wilaya ya Chake katika ukumbi wa Kiwanda cha Makonyo Wawi Chakechake
Pemba leo.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment