Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kongamano
Maalum la Mazingira Mkoa wa Tabora lililofanyika kwenye ukumbi wa
mikutano wa Mtemi Isike Mwanakiyungi, Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu
wa Rais)
Sehemu ya wahudhuriaji
katika Kongamano la Mazingira lililofanyika mkoani Tabora leo ambapo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu
Hassan ambaye yupo kwenye ziara ya kuhamasisha shughuli za maendeleo
mkoani Tabora. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais).
Makamu wa Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizindua mnara wa
Uzinduzi wa Upandaji Miti mkoani Tabora kwa heshima ya Mhe. Samia Suluhu
Hassan. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Picha ya Mnara wa Uzinduzi
wa Upandaji Miti Mkoani Tabora ulionzinduliwa rasmi na Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan. (Picha na
Ofisi ya Makamu wa Rais)







No comments :
Post a Comment