RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.DSk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia
kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni
kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya, uzinduzi huo umefanyika leo
akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduziu Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akikata utepe kuashiria
uzinduzi wa Barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi
Ngomeni Wilaya ya Chake Chake Pemba kulia Mke wa Rais wa Rais Mama
Mwanamwema Shein, Katibu Mkuu Wizara ya Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Ndg. Mustafa Aboud Jumbe na kushoto Waziri wa Ujenzi
Mawasiliano na Usafirishaji Zanzibar Mhe. Dr, Sira Ubwa Mwaboya.(Picha
na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Viongozi wa
Serikali wakitembelea barabara mpya iliojengwa kwa kiwango cha lami
kutoka Kuyuni hadi Ngomeni Wilaya ya Chakechake pemba akiwa katika ziara
yake kutembelea miradi ya maendeleo Kisiwani Pemba leo.(Picha na Ikulu)
MUONEKANO wa barabara mpya ya kiwango cha lami kutoka Kiyuni hadi Ngomani Wilaya ya Chakechake Pemba.,(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, na Mama Mwanamwema
Shein, wakimsikiliza Daktari Dhamani wa Wilaya ya Mkoani Pemba
Dr,Mohammed Faki Saleh akitowa maerlezo kabla ya kuweka jiwe la msingi
la Kituo cha Afya cha Ngomeni.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa
Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein,akiondoa kipazia
kuashiria kuweka jiwe la msingi la Barabara ya Kuyuni hadi Ngomeni
kulia Mama Mwanamwema Shein, na kushoto Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na
Usafirishaji Mhe.Dr, Sira Ubwa Mwaboya, uzinduzi huo umefanyika leo
akiwa katika ziara yake Wilaya ya Chakechake Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembeleac Kituo cha Afya cha Ngomeni
Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kukifungua rasmin leo akiwa katika
ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akitembeleac Kituo cha
Afya cha Ngomeni Wilaya ya Chakechake Pemba baada ya kukifungua rasmin
leo akiwa katika ziara yake Kisiwani Pemba.(Picha na Ikulu)
No comments :
Post a Comment