Tuesday, January 29, 2019

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA NA MATUKIO BUNGENI LEO JIJINI DODOMA


PMO_9628
Spika wa Bunge Job Ndugai  (kulia) akimwapisha Mbunge wa Temeke, Abdallah Mtolea , Bungeni jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9629 PMO_9700
Mbunge wa Same Magharibi Dk. Mathayo  David Mathayo akizungumza na Waziri wa Uwekezaji Mh. Angella Kairuki katika kikao cha Bunge mjini Dodoma leo.
PMO_9708
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Ajira, Vijana  na Wenye Ulemavu, Jenista Mhagama akiwasilisha Muswada wa Sheria ya Marekebisho  ya Sheria ya Vyama vya Siasa wa Mwaka 2018, Bungeni jijini Dodoma, Januari 29 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9720
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Kiembe Samaki, Ibrahim Raza kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9724 PMO_9742
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na wananchi kutoka jimbo la Kilwa Kusini waliotembelea Bunge kwa mwaliko wa Mbunge wao  Selemani Bungara, kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9750
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9755
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
PMO_9759
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  akifurahia  jambo wakati akizungumza na mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Januari 29, 2019. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments :

Post a Comment