Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akisalimiana na Balozi Job Lusinde wakati alipowasili nyumbani kwa
Mwanasiasa Mkongwe nchini, marehemu Pancras Ndejembi eneo la Kilimani
jijini Dodoma kutoa pole kwa familia Desemba 29, 2018. Kushoto ni Mbunge
wa Dodoma Mjini na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana na
Ajira, Anthony Mavunde na watatu kushoto ni Mkuu wa Mkoa na Waziri
Mstaafu, William Kusila.. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akitia saini kitabu cha maombolezo ya kifo cha Mwanasiasa Mkongwe
nchini, Pancras Ndejembi, nyumbani kwa marehemu eneo la Kilimani jijini
Dodoma, Desemba 29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole Bibi Leah Pancras Ndejembi, Mjane wa Mwanasiasa Mkongwe
nchini, marehemu Pancras Ndejembi wakati alipokwenda nyumbani kwa
marehemu eneo la Kilimani jijini Dodoma kutoa pole kwa familia, Desemba
29, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)PMO
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akimpa pole, Edna Ndejembi ambaye ni binti Mwanasiasa Mkongwe nchini,
marehemu Pancras Ndejembi wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu eneo
la Kilimani jijini Dodoma kutoa pole kwa familia, Desemba 29, 2018.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa
akiwa na waombolezaji nyumbani kwa Mwanasiasa Mkongwe nchini, marehemu
Pancras Ndejembi wakati alipokwenda nyumbani kwa maremu eneo la Kilimani
jijini Dodoma kutoa pole kwa familia, Desemba 29, 2018. (Picha na Ofisi
ya Waziri Mkuu)
No comments :
Post a Comment