Thursday, October 11, 2018

UZINDUZI WA MAONESHO YA SIKU YA CHAKULA DUNIANI-CHAMANANGWE KASKAZINI PEMBA


DSC_0651
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akifungua pazia kuashiria uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba (kulia) Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Rashid Ali Juma
DSC_0877
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kushoto) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
DSC_0716
Baadhi ya Wananchi waliohudhuria katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba wakimskiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika sherehe za uzinduzi wa maonesho hayo yaliyojumisha aina mbali mbali ya kilimo,
DSC_0959
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein(kulia) alipokuwa akimkabidhi zana za Kilimo kwa Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wakulima Bw.Hamad Othman Sheik wa Koowe  katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
DSC_1319
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein alipokuwa akivuma mahindi katika shamba la mfano   katika sherehe za maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo katika kijiji cha  Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
DSC_1626
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (katikati)akifuatana na  Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma (kushoto) na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Harouin Ali Suleiman wakati alipotembelea aina ya Vilimo mbali mbali na Ufugaji katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo  katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba
DSC_1630
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein  (wa pili kushoto)akiwa na Waziri wa Kilimo,Maliasili,Mifugo na Uvuvi Mhe.Rashid Ali Juma (kushoto) pamoja na Viongozi mbali mbali  wakiangalia Viazi vitamu wakati alipotembelea aina ya Vilimo mbali mbali na Ufugaji katika maonesho ya Siku ya Chakula Duniani yaliyofanyika leo  katika viwanja vya Chamanangwe Wilaya ya Wete Mkoa  wa Kaskazini Pemba,
Picha na Ikulu

No comments :

Post a Comment