Mkurugenzi
Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kushoto)
akikaribishwa na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda wake, Dkt. Charles
Kimei (kulia) wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza,
Oktoba 1, 2018. Kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Benki ya
CRDB, Ally Laay na wapili kulia ni Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na
Huduma kwa Wateja, Tully Esther Mwambaba.
Mkurugenzi
Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (kushoto) akipokea
sehemu ya vitendea kazi kutoka kwa Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda
wake, Dkt. Charles Kimei wakati alipowasili rasmi kazini kwa siku ya
kwanza, Oktoba 1, 2018. Kulia ni Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa
Benki ya CRDB, Ally Laay.
Mkurugenzi
Mtendaji mpya wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa tatu kulia)
akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji anayemaliza muda
wake, Dkt. Charles Kimei (wa tatu kushoto), Mwenyekiti wa Bodi ya
Wakurugenzi wa Benki ya CRDB, Ally Laay, (wa pili kulia), Naibu
Mkurugenzi Mtendaji (Huduma Shirikishi), Dora Ngaliga (wa pili kushoto),
Kaimu Mkurugenzi Rasilimali Watu, Timoth Fasha (kushoto) pamoja na
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja, Tully Esther
Mwambaba, baada ya kuwasili rasmi kazini kwa siku ya kwanza, Oktoba 1,
2018.
No comments :
Post a Comment