Mwanasheria Mkuu wa Serikali ya
Mapinduzi ya Zanzibar Said Hassan Said (kulia )akibadilishana mawazo na
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa Serikali za Mitaa na Idara
maalum za SMZ Haji Omar Kheir ndani ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Chukwani Zanzibar.
Muakilishi wa Jimbo la Paje Jaku
Hashim Ayoub akiuliza maswali katika kikao cha baraza la Wawakilishi
kinachoendelea Chukwani Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt,Khalid Salum Mohamed
(kushoto)akibadilishana mawazo na Waziri asiekua na Wizara maalum Said
Soud Said nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani Zanzibar.
Muakilishi wa Jimbo la Mpendae
Mohamed Said Mohamed kulia akibadilishana mawazo na Muakilishi wa Jimbo
la Shauri Moyo Hamza Hassan Juma nje ya ukumbi wa Baraza la Wawakilishi
Chukwani Zanzibar.
No comments :
Post a Comment