Naibu waziri wa Afya Harusi Said
Suleiman (kushoto) akipokea msaada wa Vifaa mbalimbali ikiwemo
Television kutoka Shirika la kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) kwa
Mwakilishi wa (UNICEF) Dkt. Maryam Seif Hemed vifaa hivyo vitatumika
kutoa elimu na kuimarisha afya za kinamama na watoto.
Baadhi ya Waandishi wa Habari
wakipatiwa maelezo na Naibu Waziri wa Afya Harusi Said Suleiman baada
ya kukabidhiwa Vifaa mbalimbali ikiwemo Television kutoka Shirika la
kuhudumia watoto Duniani (UNICEF) huko Wizara ya Afya MmaziMmoja.
Vifaa vitakavyotumika kwaajili ya matibabu katika Hospitali ya Mnazimmoja.
Baadhi ya Vifaa vitakavyotumika kwaajili ya matibabu katika Hospitali ya Mnazimmoja.
Picha Na Miza Othman – Maelezo Zanzibar.
No comments :
Post a Comment