Muonekano wa njia ya juu (flyover)
katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA jijini
Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake.
Muonekano wa njia ya juu (flyover)
katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la TAZARA jijini
Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake.
Muonekano wa njia ya juu
(flyover) katika makutano ya barabara za Nyerere na Mandela eneo la
TAZARA jijini Dar es salaam baada ya magari kuruhusiwa kupita juu yake.
Kufunguliwa kwa flyover hio kumepunguza adha ya foleni kwa kiwango
kikubwa kiasi ya kwamba safari kutoka katikati ya jiji hadi uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere hivi sasa huchukua si zaidi ya nusu
saa badala ya masaa mawili au matatu ya awali. Picha na Muhidin Issa
Michuzi
No comments :
Post a Comment