Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipeana mkono wa amani na
mmoja wa Masista wakati wa Ibada ya
jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es
Salaam.Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa na Mkewe Janeth Magufuli
pamoja na Mke wa Waziri mkuu Mama Mary Majaliwa walipoungana na waumini wengine
kusali Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay
Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.

ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Paroko msaidizi
Padre Asis Mendonca mara baada ya kushiriki Ibada ya jumapili katika Kanisa la
Mtakatifu Petro Parokia ya Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.
Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko
msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia
ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba
20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.
Mke wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Janeth Magufuli akipewa mkono wa pole na Paroko
msaidizi Padre Batholomeo Bachoo kwa niaba ya Waumini wa Parokia hiyo kufutia
ajali ya Kivuko cha Mv Nyerere iliyotokea katika Ziwa Victoria Septemba
20,2018.Wakati wa Ibada ya jumapili katika Kanisa la Mtakatifu Petro Parokia ya
Oysterbay Jijini Dar es Salaam.Septemba 23,2018.(PICHA NA IKULU)
No comments :
Post a Comment