Wajumbe wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za
Serikali za Mitaa (LAAC) wakiangalia maradi wa maji wa Bigwa Msongeni. Wajumbe
hao wapo ziarani Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na
barabara katika inayotekelezwa katika Manispaa ya Morogoro.
Mhandisi wa Maji Manispaa ya Morogoro
Ndugu Edward Kisalu akitoa taarifa ya mradi wa maji wa Bigwa Msogeni mbele ya
Kamati ya Bunge ya Hesabu za Serikali za Mitaa (LAAC). Wajumbe hao wapo ziarani
Mkoani Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara katika
inayotekelezwa katika Manispaa ya Morogoro.
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu
za Serikali za Mitaa (LAAC), Mhe. Vedasto Ngombale akitoa maelekezo kwa watendaji
wa Manispaa ya Dodoma wakati Kamati hiyo ilipotembelea Mradi wa maji wa Bigwa
Msongeni ulioko katika Manispaa hiyo. Kamati ya LAAC iko ziarani Mkoani
Morogoro kwa ajili ya kukagua miradi ya maji na barabara katika inayotekelezwa
katika Manispaa ya Morogoro.
No comments :
Post a Comment